Ras Kwani leo kuna mutu 7 ame ku go howdhes? Nika decide ni shuke down ni kiche mdhama ana kenga aje.
Chokola wa intanet mimi huyo!! teke teke! nika fika chini mara that that! ... ku fika na yebi mdhama ame malo ku spin pochas ka kinde...
kubaff Kumbe kulikua mpaka na mandunya zilikua zimeiva, kangohen pia kalikua kanawekelewa kwa jiko
Fancy Hao ilikuwa fucha mbaya na mapanya zilikuwa zinaroam....Paka ikitafuta panya ikarukia ngohen yetu..
Wawesh but ngohen yetu si ni otero!! ... iliwang'a paka jab ya ma ndegeles!
Peter Pata but kumbe hiyo paka ilikuwa janjes! ... ilikuwa ime vaa crotch guard
oti mapanga vile ngohen ili land tu hivi!! paka ili toka na flae jamo ya roundhouse kick!
Engineer Ki u slow mo....kuku ika dak .... paw ya paka ikabaki ime flaw kafeather kajamo kwa neck ya kuku 3 1 0
neullo test testing an was there 0 1 0